K Kalukozi Member Joined Oct 13, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Mar 23, 2013 #1 Wadau naomba kujuzwa ni mwezi wa ngapi vyuo vikuu vya hapa tz wanatoa matangazo ya kujiunga na masters, hasa vyuo kama mzumbe na udom
Wadau naomba kujuzwa ni mwezi wa ngapi vyuo vikuu vya hapa tz wanatoa matangazo ya kujiunga na masters, hasa vyuo kama mzumbe na udom
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,028 Mar 23, 2013 #2 Hebu jaribu kuingia kwenye website zao nina imani watakuwa wameeleza kila kitu.Japo ushishangae ukikuta hakuna update yoyote.
Hebu jaribu kuingia kwenye website zao nina imani watakuwa wameeleza kila kitu.Japo ushishangae ukikuta hakuna update yoyote.
Andie JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 712 Reaction score 1,642 Mar 24, 2013 #3 BHULULU said: Hebu jaribu kuingia kwenye website zao nina imani watakuwa wameeleza kila kitu.Japo ushishangae ukikuta hakuna update yoyote. Click to expand... hata mie natafuta habari hzo. saut wameshaanza kupokea applictn UD deadline ishapita ilikua tar 15 mrch.
BHULULU said: Hebu jaribu kuingia kwenye website zao nina imani watakuwa wameeleza kila kitu.Japo ushishangae ukikuta hakuna update yoyote. Click to expand... hata mie natafuta habari hzo. saut wameshaanza kupokea applictn UD deadline ishapita ilikua tar 15 mrch.
Open-Minded JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 278 Reaction score 165 Mar 24, 2013 #4 Mzumbe kama sio mwezi huu basi ni huo ujao pitia website yao Mzumbe University