Nafasi za kusoma masters

Nafasi za kusoma masters

Kalukozi

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Wadau naomba kujuzwa ni mwezi wa ngapi vyuo vikuu vya hapa tz wanatoa matangazo ya kujiunga na masters, hasa vyuo kama mzumbe na udom
 
Hebu jaribu kuingia kwenye website zao nina imani watakuwa wameeleza kila kitu.Japo ushishangae ukikuta hakuna update yoyote.
 
Hebu jaribu kuingia kwenye website zao nina imani watakuwa wameeleza kila kitu.Japo ushishangae ukikuta hakuna update yoyote.

hata mie natafuta habari hzo. saut wameshaanza kupokea applictn UD deadline ishapita ilikua tar 15 mrch.
 
Back
Top Bottom