Nafasi za kusoma Uturuki (Turkey/Türkye) 2015

TRamadhani

Member
Joined
May 30, 2013
Posts
48
Reaction score
18
Nafasi za kusoma Uturuki chini ya udhamini wa serikali ya Uturuki(FULL SCHOLARSHIPS) kwa UNDERGRADUATE,MASTERS na PhD. Katika fani zote.

Applications ni kuanzia tar 25.02.2015 hadi 31.03.2015. Pia applications zote zinafanyika ONLINE katika website: Ana Sayfa

Utakuta website ipo kwa Kituruki kubadili kua ENGLISH juu upande wa kulia ipo bendera ya UK uki click itakuja kwa kiingereza utasoma maelekezo kila kitu hapo wameelezea.

ALL THE BEST KILA LAKHERI.

One love Tanzania
 
asante mkuu kwa taarifa
katika ile website yao mbona option ambayo inayo direct apply haionekani?? ebu tusaidiane kwa hilo, wapi napata option ya ku apply??
 
Asante kwa Taarifa mkuu kama huamini ??

Amini Umebarikiwa kwa hili!!
 
kwel nimeangalia pia hamna ila leo ndo pia inaanza wataweka mda si mrefu neno APPLY litakua kwa juu pale baada ya FAQs.
 
Huo Umri huku kwetu ni kikwazo mana tunamaliza Form Six tukiwa na 23yrs and above wapi na wapi kuwa qualified na hizo Scholarship!!
 
hata kma una mdogo wako au ndugu yako kamaliza form four ana GPA 3.6 au zaid pia kichwa kimetulıa Apply.Ataweza tu naamini.kuna watu tupo nao huku hawajuı Advanced Physics halaf wapo vzr tu;
 
Hata kama una mdogo wako au ndugu yako kamaliza form four ana GPA 3.6 au zaid pia kichwa kimetulıa Apply.Ataweza tu naamini.kuna watu tupo nao huku hawajuı Advanced Physics halaf wapo vizr tu

Mkuuu vipi hawa jamaa ufadhili hawazingui ?

Na vipi quality yao ya education ?

Nataka nije nikamue law.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…