ERICK DANIEL LUGENDO
New Member
- Sep 14, 2013
- 2
- 1
pumba tupu. Tangazo la mwaka jana.
Teh teh teh,,,,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pumba tupu. Tangazo la mwaka jana.
Naomba atakayeskia tetec katika vyuo vifuatavyo kua kuna form za diploma in nursing aniambie , cuhas , muhas ,udom ,kcmc na vyuo vingine vya afya ,,.for the year of 2014!
Mimi nashindwa kuelewa kama mtu una phy E,chem D,biology D,english D,geog D,civics D,kiswahil D,history E,math F, Hapo inakuaje? manake kunachuo nimetuma maombi wameniambia physics kupata E ni fail sasa aliye pata F inakuaje? jamani?
Kwa viwango vipya;
'E' ni 'unsatisfactory'
Kwa hiyo inamaana kupata E huwezi kupokelewa? kama E haikubaliki basi wange andika F tu kuliko E
E sijui kama ni sawa na D ya zamani.