Nafasi za mafunzo ccp

Nafasi za mafunzo ccp

Mbona majina yametoka ya graduates waliofanikiwa kufuzu interview
 
Mmecheza chuoni mmetoka na results za ajabu mnakimbilia kazi za ajabu ajabu!
Nendeni mkajifunze kuuwa ila mkirudi tutawauwa nyinyi!
 
mmecheza chuoni mmetoka na results za ajabu mnakimbilia kazi za ajabu ajabu!
Nendeni mkajifunze kuuwa ila mkirudi tutawauwa nyinyi!

acha dharau ndugu,inamaana polisi ni kazi ya ajabu,kwanza inaonekana umesoma chuo cha kata
 
Vijana komaeni huko. Kitaa ni nouma. Hivi kunawatu hadi leo wanadhania mtu akienda polisi au jeshi GPA yake ni mbovu.
 
acha dharau ndugu,inamaana polisi ni kazi ya ajabu,kwanza inaonekana umesoma chuo cha kata[/QUOTE

I hate the police and I'll alwayz remain none loving police. Naunga mkono hoja polisi ni kazi ya kijinga. Wanaua watu hovyo, wanawasingizia watu makosa ya uongo, wananuka rushwa wanatembea na wake za watu. Aaaaaaargh, polisi ya bongo???
 
Nendeni mkafundishwe kupambana na chadema na kuua watu.
Kazi gani ambayo unafuata amri huwezi kuhoji.
Wakishasema piga we unapiga tu,kazi ambayo haina busara na hekima katika kufanya maamuzi its so hard.
Police wengi wenye vyeo vikubwa kwa sasa ni form four felia na wengne walifoji vyeti ndio maana unaona impact zinazotoke.sasa hapo ndo napopata ugumu wewe graduate ambaye bosi wako ni form four felia au alifoji cheti anakufanya gari la mkaa.
 
Back
Top Bottom