An Innitiative of German Industry for Future Leaders from Sub saharan Africa. For more information and application procedure please read the attached file.
Mkulu hapo penye red kiingereza si kikristu na kwa nyongeza.... kiarabu si kiislamu.... maana kuna jamaa wengi wa kutoka uarabuni na hawajui lugha nyingine yeyote zaidi ya kiarabu lakini ni wakristu...... vivyo hivyo kuna watu kibao wanajua kiingereza tu lakini ni waislam wazuri tu. Kwa hiyo Lugha si Dini na Dini si Lugha....