Nafasi za mafunzo Ujerumani

Nafasi za mafunzo Ujerumani

capito

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
423
Reaction score
228
AFRIKA KOMMT 2013-2015

An Innitiative of German Industry for Future Leaders from Sub saharan Africa. For more information and application procedure please read the attached file.
 

Attachments

heee kikristu chenyewe ni cha ugoko,leo kwenda kuongeza kijerumani c kutaftiana blaaa,lo!!bt thx kaka
 
heee kikristu chenyewe ni cha ugoko,leo kwenda kuongeza kijerumani c kutaftiana blaaa,lo!!bt thx kaka

Mkulu hapo penye red kiingereza si kikristu na kwa nyongeza.... kiarabu si kiislamu.... maana kuna jamaa wengi wa kutoka uarabuni na hawajui lugha nyingine yeyote zaidi ya kiarabu lakini ni wakristu...... vivyo hivyo kuna watu kibao wanajua kiingereza tu lakini ni waislam wazuri tu. Kwa hiyo Lugha si Dini na Dini si Lugha....
 
huyo alieandika ilo neno hapo juu la 'kikristu' atakuwa ni member wa 'uamsho' ndo kinacho mharibu
 
Back
Top Bottom