Mkulima na Mfugaji JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,047 Reaction score 1,832 May 2, 2014 #1 Wadau nauliza kama kuna mwenye taarifa za nafasi za masomo kwenye vyuo vya kilimo atuwekee.
the horticulturist JF-Expert Member Joined Aug 24, 2012 Posts 1,959 Reaction score 1,907 May 2, 2014 #2 zimeshatoka sema form znapatikana kwenye website ya wizara www.kilimo.go.tz ambayo kwa sasa aifunguk,vuta subira mpaka ifunguke u download form na kuilipia bank then uitume chuon,mwisho mwezi wa 6 ndugu
zimeshatoka sema form znapatikana kwenye website ya wizara www.kilimo.go.tz ambayo kwa sasa aifunguk,vuta subira mpaka ifunguke u download form na kuilipia bank then uitume chuon,mwisho mwezi wa 6 ndugu
T Tonychilu New Member Joined May 2, 2014 Posts 3 Reaction score 0 May 3, 2014 #3 rakin safari hii chuo kinachotoa certificate kipo kimoja tu Tanzania mzima (Lubondo - Kigoma hko ) vingine vyote vinataka diploma kwahiyo jitahidi mi nimesoma tangazo chuoni kwetu
rakin safari hii chuo kinachotoa certificate kipo kimoja tu Tanzania mzima (Lubondo - Kigoma hko ) vingine vyote vinataka diploma kwahiyo jitahidi mi nimesoma tangazo chuoni kwetu
Diplomat Niwe JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 231 Reaction score 215 May 6, 2014 #4 Kilimo ya cku hiz hata zero anasoma diploma
Mkulima na Mfugaji JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,047 Reaction score 1,832 May 6, 2014 Thread starter #5 Asanteni kwa taarifa tuzidi kufahamishana itakavyokuwa.
kim jung shik Senior Member Joined Mar 26, 2014 Posts 129 Reaction score 23 May 6, 2014 #6 he jaman 2saidiane kwahyo huko kgoma 2tafkishaj maombi
the horticulturist JF-Expert Member Joined Aug 24, 2012 Posts 1,959 Reaction score 1,907 May 7, 2014 #7 wizara ya kilimo sasa inafunguka fungua download form inamaelekezo yote
the horticulturist JF-Expert Member Joined Aug 24, 2012 Posts 1,959 Reaction score 1,907 May 7, 2014 #8 kim jung shik said: he jaman 2saidiane kwahyo huko kgoma 2tafkishaj maombi Click to expand... Maombi yanatumwa kwa njia ya posta anuani za chuo zipo kwenye hilo Tangazo
kim jung shik said: he jaman 2saidiane kwahyo huko kgoma 2tafkishaj maombi Click to expand... Maombi yanatumwa kwa njia ya posta anuani za chuo zipo kwenye hilo Tangazo