Nafasi za mafunzo ya kilimo zishatoka?

Nafasi za mafunzo ya kilimo zishatoka?

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Wadau nauliza kama kuna mwenye taarifa za nafasi za masomo kwenye vyuo vya kilimo atuwekee.
 
zimeshatoka sema form znapatikana kwenye website ya wizara www.kilimo.go.tz ambayo kwa sasa aifunguk,vuta subira mpaka ifunguke u download form na kuilipia bank then uitume chuon,mwisho mwezi wa 6 ndugu
 
rakin safari hii chuo kinachotoa certificate kipo kimoja tu Tanzania mzima (Lubondo - Kigoma hko ) vingine vyote vinataka diploma kwahiyo jitahidi mi nimesoma tangazo chuoni kwetu
 
Back
Top Bottom