Nafasi za masomo Kibo secondary school kidato cha 1 -6 karibuni

Nafasi za masomo Kibo secondary school kidato cha 1 -6 karibuni

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
kwa mamlaka niliyopewa chini ya kifungu cha 7 katiba ya shule na uhuru wa kuongea ktk katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,nawatangazia watanzania wote kuwa kuna nafasi chache sana za kuhamia shule yetu pendwa kibo secondary school iliyopo moshi shanty town.

NB.tunapokea wanafunzi wenye ufaulu mkubwa Tanzania.

mawasiliano:
 
Boresha Tangazo Lako Sasa
Ada Tshs Ngapi?
Shule Ni Ya Bweni/Kutwa
Mchanganuo Wa Gharama Zote Kwa Mwaka
 
Back
Top Bottom