the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
wizara ilitangaza nafasi za masomo ila website ikawa haifunguki,kwa sasa website ya kilimo www.kilimo.go.tz inafunguza na unaweza download form zikiwa zimeambatana na maelezo kamili ya sifa za muombaji na jinsi ya kuomba.