tigana Member Joined Feb 20, 2012 Posts 22 Reaction score 1 May 10, 2014 #1 Nina kijana hapa amepata div IV.40 ana (D ya biology ) (C ya kiswahili) Masomo mengine NI E na F naomba msaada jinsi ya kupata chuo ya Nursing au sehemu wanapotoa mafunzo ya uhudumu wa afya. Nashukuru kwa mchango wako
Nina kijana hapa amepata div IV.40 ana (D ya biology ) (C ya kiswahili) Masomo mengine NI E na F naomba msaada jinsi ya kupata chuo ya Nursing au sehemu wanapotoa mafunzo ya uhudumu wa afya. Nashukuru kwa mchango wako
Dotto4r Member Joined Apr 7, 2012 Posts 41 Reaction score 1 May 10, 2014 #2 Kwa ufaulu huo,hawezi kusoma Nursing Fikiria kitu kingine Mkuu
V vegas JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,043 Reaction score 645 May 10, 2014 #3 ingia kwenye website ya wizara ya afya، kuna tangazo lao, hapo utapata sifa na vigezo na mwisho wa kutuma maombi
ingia kwenye website ya wizara ya afya، kuna tangazo lao, hapo utapata sifa na vigezo na mwisho wa kutuma maombi
A Ahmed Dhikri Member Joined Mar 18, 2014 Posts 6 Reaction score 0 May 10, 2014 #4 Anatakiwa awe na angalau D katika masomo ya science yote na awe na ufaulu usiopungua points 35.