Nafasi za masomo vyuo vya nursing na uhudumu afya

Nafasi za masomo vyuo vya nursing na uhudumu afya

tigana

Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
22
Reaction score
1
Nina kijana hapa amepata div IV.40 ana (D ya biology ) (C ya kiswahili) Masomo mengine NI E na F naomba msaada jinsi ya kupata chuo ya Nursing au sehemu wanapotoa mafunzo ya uhudumu wa afya. Nashukuru kwa mchango wako
 
Kwa ufaulu huo,hawezi kusoma Nursing
Fikiria kitu kingine Mkuu
 
ingia kwenye website ya wizara ya afya، kuna tangazo lao, hapo utapata sifa na vigezo na mwisho wa kutuma maombi
 
Anatakiwa awe na angalau D katika masomo ya science yote na awe na ufaulu usiopungua points 35.
 
Back
Top Bottom