Nafasi za masomo wizara ya afya

Nafasi za masomo wizara ya afya

Mhemajunior

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Jamani naomba kufahamishwa tangazo la kutuma maombo nafasi za masomo wizara ya afya kwa waliomaliza kidato cha nne linatoka lini maana naona mda unazidi kuyoyoma!
 
Jamani naomba kufahamishwa tangazo la kutuma maombo nafasi za masomo wizara ya afya kwa waliomaliza kidato cha nne linatoka lini maana naona mda unazidi kuyoyoma!

Nikifungua website yao sioni lolote yaani Blankpage .
Sijui kisimu changu ndo kibovu au website yao haionyeshi.
:flypig:
 
kama una nia njoo chuo cha jesh lugalo kiko ndani ya hospital ya rufaa jeshi la tanzania.dar.
 
Back
Top Bottom