DSJ
New Member
- Jun 28, 2019
- 4
- 6
DSJ - JULY INTAKE
Wahi mapema kabla nafasi hazijaisha.
SIFA ZA KUJIUNGA NA MASOMO
1. “CERTIFICATE:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne (IV) kwa ufaulu wa angalau D nne (4), na D moja kati ya hizo iwe ya somo la Kiingereza.
2. “DIPLOMA:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha sita (VI) kwa ufaulu wa angalau “Principal” moja na “Subsidiary” moja. Au awe amehitimu “Certificate” ya “Journalism” au kozi yoyote inayofanana na “Journalism” pia awe ana “GPA” ya kuanzia 2.0 na kuendelea kutoka katika chuo kinachotambulika na serikali.
Kwa maelezo zaidi tembelea Chuoni, Ilala Bungoni, karibu na Kituo cha Msaada Gereji
Au tupigie simu
0655573294 | 0735573294 | 0717248231 | 0738971289
Barua Pepe: info.dsj@uti.ac.tz
Ku “Download” Fomu Zetu au kufanya maombi "Online" Tembelea Tovuti yetu: www.dsj.uti.ac.tz
WOTE MNAKARIBISHWA