Kigezo cha pili sjakielewa naombeni ufafanuzi
Wanataka watu wanaofundisha vyuo mkuu, au member wa staff wa vyuo vikuu iwe private au government.
Huu ni ubaguzi mwingine yaani watu wana kazi ila wanapewa fursa za kusomeshwa???
Kweli hii nchi bana kazi kwel kwel