Nafasi za Scholarship Ph.D & Masters

Nafasi za Scholarship Ph.D & Masters

HP1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
3,362
Reaction score
878
Hello friends. Fursa ya masomo ya juu hizi hapa

fungua http://www.tcu.go.tz/images/MOEVT_DAAD/Advert February 2015.pdf

TCU.png
 
Kigezo cha pili sjakielewa naombeni ufafanuzi
 
Kigezo cha pili sjakielewa naombeni ufafanuzi

Wanataka watu wanaofundisha vyuo mkuu, au member wa staff wa vyuo vikuu iwe private au government.
Huu ni ubaguzi mwingine yaani watu wana kazi ila wanapewa fursa za kusomeshwa???
Kweli hii nchi bana kazi kwel kwel
 
Kwa iyo tusiofundisha vyuo atutaki kusoma au....ubaguzi huu
 
Back
Top Bottom