Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zishatoka tayari kama hujapata tena no way mshukuru mungu tu kwa kila jambo.
na kama umepata rudi hapa useme asante mungu.
USHAURI. nendeni mkafanye kazi
[h=2]news:"Ajira Mpya za Walimu awamu ya pili Kwa Mwaka 2015."[/h]zishatoka tayari kama hujapata tena no way mshukuru mungu tu kwa kila jambo.
na kama umepata rudi hapa useme asante mungu.
USHAURI. nendeni mkafanye kazi
Watu kibao wameachwa tena inauma sana.
mwangalie jackline kiwelu then mni pm tafadhalini
Lini mwisho Wa kuripoti
Jackline - Makete DC,,,, maelezo piga +255682321571
1 -5 june
Namshukuru Mungu kwa yote .Nimepewa bukombe geita