Nafasi za ualimu awamu ya pili out! Tembelea TAMISEMI

Nafasi za ualimu awamu ya pili out! Tembelea TAMISEMI

Namshukuru Mungu kwa yote .Nimepewa bukombe geita

Kweli serikali imeoza!
Wilaya ya Bukombe ilipewa walimu wengi mpaka ikawarudisha TAMISEMI then leo hii wanapanga walimu wengine katka wilaya hilehile?
Mungu anajua.
 
Unapotaka kuangaliziwa sema ni cheti au shahada na masomo yake. Kama ni sanaa au sayansi
 
Kuna jamaa yangu alipangwa Muleba mwanzoni, akaenda Tamisemi akalalamika wamwamishe, wakamwambia asikilizie, sasa akona asije akakosa Ajira akenda zake kuripoti Muleba, jana majina yametoka kahamishwa Monduli.

Je anaweza akahama kwenda Monduli ilihali amesharipoti Muleba?
 
Jaman wana JF mi nimeomba kubadirishiwa lakin jina halijatoka na kuripot siwez waliponipangia awali nifanye nn ushaur plz?
 
Back
Top Bottom