habari wadau,
Napenda kuuliza kuhusu nafasi za kusoma vyuo vya Ualimu grade A kwa waliomaliza form IV, naona kimya kingi je kuna mwenye taarifa atufahamishe wadau? Hizi nafasi kama sijakosea tuliomba/nilimwombea mdogo wangu mwezi wa 5 mwaka huu na naona wale wa Ngazi Rekebishi (Bridging Course) wameshaitwa. Je kwa hizi zingine huwa wanaingia lini ama kuna taarifa yoyote?