K KONGOTO Member Joined Apr 3, 2012 Posts 48 Reaction score 4 Jun 2, 2012 #1 Jaman mwenye taarifa juu ya nafasi za uhamiaji kama wameshatoa majina ya waliochaguliwa naomba anijuze maana mimi nipo kijijini magazeti inakuwa taabu sana kuyapata....naomba kujuzwa tafadhali.......
Jaman mwenye taarifa juu ya nafasi za uhamiaji kama wameshatoa majina ya waliochaguliwa naomba anijuze maana mimi nipo kijijini magazeti inakuwa taabu sana kuyapata....naomba kujuzwa tafadhali.......