Nafasi za uhamiaji vipi...

Nafasi za uhamiaji vipi...

KONGOTO

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
48
Reaction score
4
Jaman mwenye taarifa juu ya nafasi za uhamiaji kama wameshatoa majina ya waliochaguliwa naomba anijuze maana mimi nipo kijijini magazeti inakuwa taabu sana kuyapata....naomba kujuzwa tafadhali.......
 
Back
Top Bottom