Nafasi za wajasiriamali zinahitajika

Nafasi za wajasiriamali zinahitajika

amigooo

Senior Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
115
Reaction score
18
Nafasi muhimu kwa ajili ya mjasiriamali zipo
Tunafanya Business na kampuni kubwa duniani ambayo ina matawi mengi sana na kwa Tanzania yapo matawi matano.
Aina ya Business: Multilevel Business
Sifa:
Mtu yeyote mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 mwenye kupenda yafuatayo:
1.Kipato cha ziada
2.Uhuru wa kifedha
3.Kuwa na biashara yako mwenyewe
4.Kujiendeleza
5.Kusaidia wengine
6.Kukutana na watu wapya
7.Kutopata shida baada ya kustaafu/kushindwa kufanya kazi
8.Likizo
Elimu: Kuanzia kidato cha 4 na kuendelea
NB:Usikubali kukaa na kulalamika kuwa maisha hayaendi bali fursa zipo zitumie kwa wakati
Mwisho wa tangazo: 6th October 2012
Kwa mawasilaino zaidi tuandikie healthwealthfirst@gmail.com Cell:0713889162
 
Wewe unajua maana ya Mjasiriamali? AU Unajiandikia tu, Lini kazi ya Kuchuuza Dawa na Vipodozi ikawa ya Ujasiriamali? Usutumie hili neno vibaya na si lazima kulitumia, unaweza tumia Forever Living au GNLD na Vilevile Acheni usanii, KAMPUNI KUBWA DUNIANI NI IPI HIYO HAINA HATA WEBSITE UNAISHIA KUTUMIA ANUANI ZA MTAANI? Unafahamu makampuni makubwa Duniani?
 
nokla like this!
 
Kweli Chasha tumechoka na matangazo ya longolongo/ubabaishaji mtupu....utaona ktk gazeti mfano " Kampuni kubwa ya kimataifa inahitaji vijana"....kumbe ya kutembeza dawa mtaani!!!... KUWENI WAKWELI SIYO KUWAPOTEZEA WATU MUDA NA CONCENTRATION YAO KU-APPLY...:laugh: :A S thumbs_down:
 
Majibu mengi ya watu wa hali ya chini hutoka katika mawazo yasiyofikirika na huishia kubaki kulalamika na kutopata ukweli wa mambo. Toa mawazo mazuri ya kimaendeleo kwa wenzako ambao wanahitaji na siyo kuendelea kuwadumaza na hatimaye kuendelea kubaki mtu wa hali duni.
 
Watu wawe wanafikiria positive na wasiwe tu kila jambo wanafikiria negative. Tuwe tunazingatia kabla ya kuweka comments
 
nokla like this!
Watu wanatakiwa kuwa na uelewa na wasiwe wanakubali kulemazwa na majibu yanayokatisha tamaa. Wewe uliye na kutaka kufahamu jambo fanya uamuzi sahihi usikubali kupoteza sauti itokayo ndani kuendana na malengo yako
 
haya matangazo mpaka lini?
these guys are always never straight forward..............!!!!
 
hawa jamaa matangazo yao na kazi utakayoipata haviendani kabisa.ni usanii mtupu,mara utasikia kampuni kubwa kutoka USA.hatudanganyiki ng'o
 
hawa jamaa matangazo yao na kazi utakayoipata haviendani kabisa.ni usanii mtupu,mara utasikia kampuni kubwa kutoka USA.hatudanganyiki ng'o
Mwenye mawazo chanya husikia huona jambo kisha hufikiria na kutolea maamuzi na mwishowe kutenda. Wengine wanasikia na kurukia kutenda tu na kupotosha kama hiyo comment hapo juu.
 
Kilicho nifanya niduwae zaidi achilia maelezo yako 'ya kuunga unga' ni hiyo 'at gmail dot com'
 
Back
Top Bottom