Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo yako kwenye mtandao gani?Kwani hao wa Dodoma walipatikana vipi? Si maelezo yote yako kwenye mtandao au una wasiwasi?
Maelezo yako kwenye mtandao gani?Kwani hao wa Dodoma walipatikana vipi? Si maelezo yote yako kwenye mtandao au una wasiwasi?
Kwa maoni yangu siku hizi ajira zote application zake zinapitia kwenye mitandao, siyo zile enzi zetu ukimaliza degree unafuatwa chuoni na kuombwa kufanya kazi katika shirika fulani.Maelezo yako kwenye mtandao gani?
Hebu kama unajua kitu muelezee mtu unaweza kuwa ni msaada kwake. Kuna mtu wa Zanzibar kajaribu sana huku bara lakini ushindani ni mkubwa. Anataka kurudi kuombea nyumbani.
Ajira za serikalini kule wanaandika kabisa wanaotakiwa kuajiriawa ni Wazanzibari tena unatakiwa uattach kitambulisho cha MzanzibariZanzibar Revenue Board wao wanatoa lini ajira zao. Nataka nijitupie huko nikakusanye mapato Zanzibar nikitokea bara.
Kwa maoni yangu siku hizi ajira zote application zake zinapitia kwenye mitandao, siyo zile enzi zetu ukimaliza degree unafuatwa chuoni na kuombwa kufanya kazi katika shirika fulani.
Vigezo vinavyotumika kwa Bara na Visiwani naamini ni vile vile na kwa vile applications ni nyingi sana (munaomaliza degree ni wengi jamani) hakuna kazi itakayotangazwa ikawa haina applicants wengi.
Ajitahidi kuuliza kutoka kwa wenzake.
Shukran dearNimekupenda bure dear pamoja na ukongwe wako mammy...! 😘
Sheria ya Kaz si unaijua,? Au we mzanzibar?Zanzibar Revenue Board wao wanatoa lini ajira zao. Nataka nijitupie huko nikakusanye mapato Zanzibar nikitokea bara.