Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kama ulivyo Urais, nafasi hizi nazo ziwe na ukomo. Hakuna sababu ya msingi mtu mmoja kuwa mbunge miaka 20. Na jambo hili wasipewe bunge kuamua. kuna wabunge wamechosha kabisa. Mtu amekaa bungeni miaka 20. mawazo yake ni ya enzi za Mkapa huko. yupo tu, "Tunafanyaga hivi."