Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kama ulivyo Urais, nafasi hizi nazo ziwe na ukomo. Hakuna sababu ya msingi mtu mmoja kuwa mbunge miaka 20. Na jambo hili wasipewe bunge kuamua. kuna wabunge wamechosha kabisa. Mtu amekaa bungeni miaka 20. mawazo yake ni ya enzi za Mkapa huko. yupo tu, "Tunafanyaga hivi."
hiyo haitoshi mtu anastaafu anarudi tena angalia kabakaKama ulivyo Urais, nafasi hizi nazo ziwe na ukomo. Hakuna sababu ya msingi mtu mmoja kuwa mbunge miaka 20. Na jambo hili wasipewe bunge kuamua. kuna wabunge wamechosha kabisa. Mtu amekaa bungeni miaka 20. mawazo yake ni ya enzi za Mkapa huko. yupo tu, "Tunafanyaga hivi."
UPO SAHIHI UBUNGE UMEKUWA UFALME KAMA RAIS ANAKAA MIAKA 10 NA WABUNGE IWE HIVYO HIVYO NCHI INA WATU MIL.61 TUPOKEZANE KUONGOZAKama ulivyo Urais, nafasi hizi nazo ziwe na ukomo. Hakuna sababu ya msingi mtu mmoja kuwa mbunge miaka 20. Na jambo hili wasipewe bunge kuamua. kuna wabunge wamechosha kabisa. Mtu amekaa bungeni miaka 20. mawazo yake ni ya enzi za Mkapa huko. yupo tu, "Tunafanyaga hivi."
Mbona Rais anachukua zaidi na anaachia?Ni Nani aache Kazi yenye mshahara mkubwa wa mil 12 kwa mwezi
We mtoa Mada utakuwa upo usinginzini