kwani wewe uko maeneo gani? acha uoga chief kwa urefu huo unaotaka kuna jamaa wanachimba kwa mashine kwa 2, 200, 000mln hapo kasoro pump tu......
Akina nani hao ndugu yangu. Hebu tupe contact zao.
0773 404053 mpgie huyo hao wanapiga kazi yote hiyo mkuu....mimi washanipigia muda fulani na safi kabisa
mkuu mi nawafahamu wanachimba poaa sana ila wapo morogoro wew sjui uko wapi mana wale jamaa wanaendaa popotee
Habaru zenu,Nahitaji mafundi wanaochimba visima kwa mita 15-30meters. Nilishaona hii simple technology sehemu. Asanteni
Asante Mkuu, napiga hiyo no kwenye simu yangu inatokea caterpillar sales bila shaka huyu mkuu anashughulika na mambo mengi tutawasiliana naye muda muafaka ukifikaCall 0767386011