Nafatuta Mafundi wa Kuchimba Visima Kwa Mikono (Hand-Dug Wells)

Nafatuta Mafundi wa Kuchimba Visima Kwa Mikono (Hand-Dug Wells)

awadh

Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
46
Reaction score
60
Habaru zenu,Nahitaji mafundi wanaochimba visima kwa mita 15-30meters. Nilishaona hii simple technology sehemu. Asanteni
 
ngoja na mie nisubirie hapa na bei zao maana wale wa mashine ghali hatuwezi
 
kwani wewe uko maeneo gani? acha uoga chief kwa urefu huo unaotaka kuna jamaa wanachimba kwa mashine kwa 2, 200, 000mln hapo kasoro pump tu......
 
kwani wewe uko maeneo gani? acha uoga chief kwa urefu huo unaotaka kuna jamaa wanachimba kwa mashine kwa 2, 200, 000mln hapo kasoro pump tu......

Akina nani hao ndugu yangu. Hebu tupe contact zao.
 
Akina nani hao ndugu yangu. Hebu tupe contact zao.

0773 404053 mpgie huyo hao wanapiga kazi yote hiyo mkuu....mimi washanipigia muda fulani na safi kabisa
 
Asanteni. Nina pilot project sehemu yenye maji karibu ndio maana nahitaji hii technology...yeyote mwenye details za hawa watu tafadhali...
 
Hawa wachimba visima ni wa muhmu kweli kwenye kilimo shida iko kwenye bei
 
mkuu mi nawafahamu wanachimba poaa sana ila wapo morogoro wew sjui uko wapi mana wale jamaa wanaendaa popotee
 
mkuu mi nawafahamu wanachimba poaa sana ila wapo morogoro wew sjui uko wapi mana wale jamaa wanaendaa popotee

kwa kuwa umesema Wako tayari kwenda popote, kumbe hata huna haja kujua muulizaji Yuko wapi. Tusaidie contact zao, wao ndo watasema huko hatufiki. Tunaohitaji tupo wengi.
 
Yupo wewe niandikie namba yako ya simu nimpe muwasiliane sasa hivii siriazi
 
Habaru zenu,Nahitaji mafundi wanaochimba visima kwa mita 15-30meters. Nilishaona hii simple technology sehemu. Asanteni

Mtafute Mzee Madomado, simu 0786 796 571 au 0786 607 161 amenichimbia visima viwili, vinatoa maji mwaka mzima.
 
Nipigie 0782 1055 26. Bei inategemea na umbali wa upatikanaji maji, na miamba iliyopo mahali husika. Kwanza lazma tufanye survey ya natural vegetation and surface appearance. Je nataka cha kudrill au cha ring?
 
Back
Top Bottom