Nafaulisha chumba Toangoma

Nafaulisha chumba Toangoma

Wakuu nafaulisha chumba kipo Toangoma karibu na Mbagala kituo Stanley.

Nimepata kazi Mbezi sasa inabidi nihamie huko kutokana na umbali, kodi ni 25k utanirudishia miezi miwili iliyobaki, nitafute PM tuzungumze
Kapige kazi, hiyo pesa ulishalipa samehe, au km vipi endelea kukaa mpk miezi yako 2 iishe.
Kuwa na moyo wa kitajiri(abundance mindset)
 
Weks picha ya chumba kitanifaa hii wikend kwa ajili ya kuwala watoto wa kigamboni mbususu
Hahhà nayajua hayo maeneo nyumba nzr sio hiyo bei hiko kitakuwa cha kawaida sanaa, stanlye kituo ni kabla hujafika Petrol station ya usagara ukitoka fun city, I have a plot maeneo hayo, sasa hicho chumba cha 25 sijui ni maeneo gani au pale kwenye huduma za garden kuna nyumba iliyobaki inawapangaji kama woteee hahah maana mitaa hiyo nimefanya service ya gari na kuosha gari hahahah
 
Kwa hiyo kwa huko kigamboni wapi naweza kwenda kula tundazuri kwa raha mustarehe? Lodge gani classic?
 
Humu ndani kila mtu tajiri 25k hawaamini kama ya Tz aloooo 😀😀
Wala sio hivyo chumba cha 25000 kwa jiji la dar es Salam nimeshangaa kwamba kumbe vipo? Kijijini kwetu huku mkoani haupati chumba cha hiyo pesa🤫
 
Hahaha nenda green tree weweeeee pale yaani unakula unamwaga shahawa zotee hadi mtu analia kwa utamu hakuna hata mtu atakaesikia
Hii green tree bado ipo? Dah kitambo sana nilikwendaga hapo mwaka 2016. Bado pazuri?
 
Back
Top Bottom