mkakaflani
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 702
- 2,716
Utakua umeamka na hang over mkuu, maana comment imejaa vicheko balaaHahhà nayajua hayo maeneo nyumba nzr sio hiyo bei hiko kitakuwa cha kawaida sanaa, stanlye kituo ni kabla hujafika Petrol station ya usagara ukitoka fun city, I have a plot maeneo hayo, sasa hicho chumba cha 25 sijui ni maeneo gani au pale kwenye huduma za garden kuna nyumba iliyobaki inawapangaji kama woteee hahah maana mitaa hiyo nimefanya service ya gari na kuosha gari hahahah