mkakaflani
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 923
- 4,087
Utakua umeamka na hang over mkuu, maana comment imejaa vicheko balaaHahhà nayajua hayo maeneo nyumba nzr sio hiyo bei hiko kitakuwa cha kawaida sanaa, stanlye kituo ni kabla hujafika Petrol station ya usagara ukitoka fun city, I have a plot maeneo hayo, sasa hicho chumba cha 25 sijui ni maeneo gani au pale kwenye huduma za garden kuna nyumba iliyobaki inawapangaji kama woteee hahah maana mitaa hiyo nimefanya service ya gari na kuosha gari hahahah
Ndio nilienda na mchuchu hapo akaogeleeSanaa pazuri, ulienda kufanyaje? Kama kuogelea bahari ipo karibu hahahha. Hv jaman Dodoma naweza ogelea wapi
Popote ndio lodge gani?Kigamboni ingia popote
aisee tuheshimiane, niite raisi wa ma jobless pro maxHapa mila mtu ana job kali nyumba vyumba vinne, ana ndinga na pia ana demu mkali au handsome husband.
Bodaboda nipo peke yangu jf nzima🤣🤣🤣🤣