Nafazi ya kazi ya kuuza Pharmacy

Nafazi ya kazi ya kuuza Pharmacy

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622
Natangaza nafasi ya kazi ya kuuza kwenye Pharmacy, kwa mtu mwenye elimu ya Famasia, na ufahamu wa kutosha kuhusu dawa mbali mbali za binadamu.

Sifa za mwombaji
  1. Awe na elimu ya Famasia ngazi ya cheti (Certificate Level)
  2. Awe na umri usiozidi miaka 40
  3. Awe mkazi wa Dar es Salaam
Maombi yote yatumwe kwenda: mikeyamon@gmail.com
 
Eneo la kazi ni wapi kwa Dar-es-salaam na offer yako ni kiasi gani? Vijana wapo.
 
Back
Top Bottom