Nafazi za kazi ukanda wa Gaza

Nafazi za kazi ukanda wa Gaza

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Kama title inavyosema Umoja wa mataifa (UN) watangaza nafasi mbali mbali za kazi katika ukanda wa Gaza.

Hii sio mara ya kwanza kwa U kutangaza nafasi hizo katika tovuti yao.

nimeona niilete hapa ili wale majobless wanaolalamika hakuna ajira maisha magumu bongo wachangamkie fursa.

Ila msije sema hamna taarifa ya kuwa mpaka sasa watumishi kumi na moja wa UN katika ukanda huo wameshapoteza maisha tangu Jumamosi iliyopita(UN says at least 11 of its workers has been killed since Saturday -BBC).

How to apply: https://unjobs.org/duty_stations/gza
 
1697094353723.png

Nafasi za Kazi!
 
Nimesha tuma Application 🥴🥴,
Nasubilia tu kupigiwa simu 😊😊
 
Kama title inavyosema Umoja wa mataifa (UN) watangaza nafasi mbali mbali za kazi katika ukanda wa Gaza.

Hii sio mara ya kwanza kwa U kutangaza nafasi hizo katika tovuti yao.

nimeona niilete hapa ili wale majobless wanaolalamika hakuna ajira maisha magumu bongo wachangamkie fursa.

Ila msije sema hamna taarifa ya kuwa mpaka sasa watumishi kumi na moja wa UN katika ukanda huo wameshapoteza maisha tangu Jumamosi iliyopita(UN says at least 11 of its workers has been killed since Saturday -BBC).

How to apply: https://unjobs.org/duty_stations/gza
Haya hayaa wabongo tunalialia hakuna ajira na mtaani wasomi wamejaa.😄😄
Nafasi hizo with abundant salaries kutoka UN, tushindwe wenyewe🤣🙌
 
Tusubiri kwanza Israel itembeze kichapo, ukijipeleka kwa njaa zako na wewe humo humo utaliwa, sasa hivi wakimbizi wamefika 250,000 inatakiwa Misri iwahurumie na kufungua mpaka wakimbilie huko, si ni Waarabu wao na wote dini moja?
Usijari bro, utavaa vest ya UN so makombora yatakuwa yanakukwepa na kwenda kuhit maeneo mengine🤣🤣
 
Tusubiri kwanza Israel itembeze kichapo, ukijipeleka kwa njaa zako na wewe humo humo utaliwa, sasa hivi wakimbizi wamefika 250,000 inatakiwa Misri iwahurumie na kufungua mpaka wakimbilie huko, si ni Waarabu wao na wote dini moja?
Mkuu tena wewe ulivyo Pro-US unapewa na senior position kabisa.
 
Back
Top Bottom