Nafazi za kazi ukanda wa Gaza

Nafazi za kazi ukanda wa Gaza

Ma bro mna tujaza wadogo zenu ujinga😂🤣🤣🤣, Eti never be afraid of anything 😂.
👉Akati ye ana kula kiyoyozi🤣😂
Nilipoangalia salary numeration ya UN hapa nakashawishika kutuma maombi, sema umeme nao unazingua maana niko hatua ya mwisho Ku update CV, wakijibu tu napiga chini hii kazi ya sasa😄😜
 
Tusubiri kwanza Israel itembeze kichapo, ukijipeleka kwa njaa zako na wewe humo humo utaliwa, sasa hivi wakimbizi wamefika 250,000 inatakiwa Misri iwahurumie na kufungua mpaka wakimbilie huko, si ni Waarabu wao na wote dini moja?
Wewe kima pamoja na Maghayo na genge lake mnafurahia mauaji ya binadamu wenzenu wakiwemo na watoto na wengine wasio na hatia na unaona sawa .
 
Hii kama kwenda Kivu ,east congo
Haha bro acha kucheza na waarabu Kivu na Goma zote ni za Peace Keeping Mission (NUMESCO) tukiondoa Ile ya kuwafurumusha M-23 miaka ya 2013 led by FIB ikiongozwa na TPDF kama sijasahau.
Waarabu mafala Sana, hawajui huyu yupo kwaajili ya kutunza Amani au ni mpiganaji, wao wanachotaka kuona ni miili iliyojaa damu imetapakaa chini ohoo
 
Hahahaha,wanaweza kukupa u black America ili risasi zijae kifuani vzr
 
Huko ndio nataka huko. Sio kazi za kuremba remba na akina mama ofisi moja. Kazi inatakiwa muda mwingine unatembea na mjegejo mi2. Mabomu 6. Tikitaka kuzamia handakini 2. Mikimbizo 7. Kuwatambua Hamas ukiachana na makobaz yao hata harufu tu 3.
Mkuu niunganishe hiyo job fasta. Labda waweke vigezo vya ung'eng'e
 
Duh jamaa umetaja job descriptions zako mwenyewe 🤣🤣
 
Wewe kima pamoja na Maghayo na genge lake mnafurahia mauaji ya binadamu wenzenu wakiwemo na watoto na wengine wasio na hatia na unaona sawa .

Hehehehe Wewe huoni aibu kuabudu muarabu anayewaagiza kuchinja watu kisa hawamuabudu

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Back
Top Bottom