Nimesha tuma Application 🥴🥴,Kama title inavyosema Umoja wa mataifa (UN) watangaza nafasi mbali mbali za kazi katika ukanda wa Gaza.
Hii sio mara ya kwanza kwa U kutangaza nafasi hizo katika tovuti yao.
nimeona niilete hapa ili wale majobless wanaolalamika hakuna ajira maisha magumu bongo wachangamkie fursa.
Ila msije sema hamna taarifa ya kuwa mpaka sasa watumishi kumi na moja wa UN katika ukanda huo wameshapoteza maisha tangu Jumamosi iliyopita(UN says at least 11 of its workers has been killed since Saturday -BBC).
How to apply: https://unjobs.org/duty_stations/gza
Bora Warner naweza ku joinAcha uoga mkuu, maisha ni kupambana
No matter how long you gon' stay alive, one day mtoa roho will knock your door buddy😄😄Death opportunities
Haya hayaa wabongo tunalialia hakuna ajira na mtaani wasomi wamejaa.😄😄Kama title inavyosema Umoja wa mataifa (UN) watangaza nafasi mbali mbali za kazi katika ukanda wa Gaza.
Hii sio mara ya kwanza kwa U kutangaza nafasi hizo katika tovuti yao.
nimeona niilete hapa ili wale majobless wanaolalamika hakuna ajira maisha magumu bongo wachangamkie fursa.
Ila msije sema hamna taarifa ya kuwa mpaka sasa watumishi kumi na moja wa UN katika ukanda huo wameshapoteza maisha tangu Jumamosi iliyopita(UN says at least 11 of its workers has been killed since Saturday -BBC).
How to apply: https://unjobs.org/duty_stations/gza
Usijari bro, utavaa vest ya UN so makombora yatakuwa yanakukwepa na kwenda kuhit maeneo mengine🤣🤣Tusubiri kwanza Israel itembeze kichapo, ukijipeleka kwa njaa zako na wewe humo humo utaliwa, sasa hivi wakimbizi wamefika 250,000 inatakiwa Misri iwahurumie na kufungua mpaka wakimbilie huko, si ni Waarabu wao na wote dini moja?
Mkuu tena wewe ulivyo Pro-US unapewa na senior position kabisa.Tusubiri kwanza Israel itembeze kichapo, ukijipeleka kwa njaa zako na wewe humo humo utaliwa, sasa hivi wakimbizi wamefika 250,000 inatakiwa Misri iwahurumie na kufungua mpaka wakimbilie huko, si ni Waarabu wao na wote dini moja?
Uwoga wao ndio adui (umaskini wako)Acha uoga mkuu, maisha ni kupambana