fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 657
- 710
Habari wadau
Nilikuwa nauliza nimepanga kutembelea Morogoro na familia ya watu watano, ningependa kufika choma waterfalls. Nakumbuka miaka kadhaa nishawahi kufika kwa pikipiki kutoka pale ofisi ya mkuu wa mkoa, nilikuwa nauliza kuna njia nyengine ya kufika waterfalls kama kwa gari au lazima tupande pikipiki?
Pia tunaweza pata gari ya kukodi kutembezwa maeneo mbalimbali morogoro kama mzumbe,bwawa la mindu na any interesting place?