The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Infringement of privacy is a crime offense, yeye kauliza mahali wewe waanza ujuaji wa personal info.KUFANYA NN
Ume tisha Sana askari wangupanda gari mpka mbezi / panda gari ya mpka kimara / kimara chukua gari ya posta kivukoni mwendokasi pale mpka kivukoni / vuka kivukoni kivuko 200 kukata card elfu 2000/ukivuka kapande gari za buyuni nauli 2600 kwa kimbiji nahisi ni 2000
kamanda 🫡🫡Ume tisha Sana askari wangu
Naongezea tu ukipanda gari la kigamboni vs buyuni mwambie konda akushushe jeshini ni kituo kinachofuata baada ya kuvuka kidagaa.panda gari mpka mbezi / panda gari ya mpka kimara / kimara chukua gari ya posta kivukoni mwendokasi pale mpka kivukoni / vuka kivukoni kivuko 200 kukata card elfu 2000/ukivuka kapande gari za buyuni nauli 2600 kwa kimbiji nahisi ni 2000
Haro tunaogopa asiwe gaidi au ana mision ya kupanga kupindua nchiInfringement of privacy is a crime offense, yeye kauliza mahali wewe waanza ujuaji wa personal info.
Sasa mission ya kupindua nchi, ata kuja kuuliza uelekeo humu kweli?Haro tunaogopa asiwe gaidi au ana mision ya kupanga kupindua nchi
Chafu yangu uli zama pande zipi?kamanda 🫡🫡
kbsa yaan apa kwa maelezp haya hawezi kupotea kabsa aiseeNaongezea tu ukipanda gari la kigamboni vs buyuni mwambie konda akushushe jeshini ni kituo kinachofuata baada ya kuvuka kidagaa.
Pamoja na Ubishoo, wako katika Ufundi, umetoa maelekezo kwa uzuri sana!panda gari mpka mbezi / panda gari ya mpka kimara / kimara chukua gari ya posta kivukoni mwendokasi pale mpka kivukoni / vuka kivukoni kivuko 200 kukata card elfu 2000/ukivuka kapande gari za buyuni nauli 2600 kwa kimbiji nahisi ni 2000
sa hv nko jiji daslamu madagscar wamentimua najitafuta dar 🤣🤣 visa yangu imeexpire bahariaChafu yangu uli zama pande zipi?
🤣🤣sasa hv uboshoo umesha expire nmepigika 🤣Pamoja na Ubishoo, wako katika Ufundi, umetoa maelekezo kwa uzuri sana!
Nika jua uli danja askari🤣🤣sa hv nko jiji daslamu madagscar wamentimua najitafuta dar 🤣🤣 visa yangu imeexpire baharia
nakufaje kiboya nilichukua manzi ya kidagascar jua la bongo kalishindwa kakimbia nchi🤣Nika jua uli danja askari🤣🤣
Wakuu nipo Kibaha hapa
Nataka route ya kwenda kimbiji , Kuna kikosi Cha jeshi kule nataka nifike .
Cha msingi nifike kwanza kimbiji .
Nipeni route