Nafikaje Kimbiji?

Nafikaje Kimbiji?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakuu nipo Kibaha hapa

Nataka route ya kwenda kimbiji , Kuna kikosi Cha jeshi kule nataka nifike .

Cha msingi nifike kwanza kimbiji .

Nipeni route
 
Anzia Lugalo Barracks, kutoka hapo utafika Kimbiji kambi ya Jeshi bila mkwamo. 🤔
 
panda gari mpka mbezi / panda gari ya mpka kimara / kimara chukua gari ya posta kivukoni mwendokasi pale mpka kivukoni / vuka kivukoni kivuko 200 kukata card elfu 2000/ukivuka kapande gari za buyuni nauli 2600 kwa kimbiji nahisi ni 2000
Naongezea tu ukipanda gari la kigamboni vs buyuni mwambie konda akushushe jeshini ni kituo kinachofuata baada ya kuvuka kidagaa.
 
panda gari mpka mbezi / panda gari ya mpka kimara / kimara chukua gari ya posta kivukoni mwendokasi pale mpka kivukoni / vuka kivukoni kivuko 200 kukata card elfu 2000/ukivuka kapande gari za buyuni nauli 2600 kwa kimbiji nahisi ni 2000
Pamoja na Ubishoo, wako katika Ufundi, umetoa maelekezo kwa uzuri sana!
 
Ukivuka pantoni nenda stendi kuna daladala kibao za kwenda
Huko

Ova
 
Wakuu nipo Kibaha hapa

Nataka route ya kwenda kimbiji , Kuna kikosi Cha jeshi kule nataka nifike .

Cha msingi nifike kwanza kimbiji .

Nipeni route
1741172533930.png
 
Back
Top Bottom