Nafikiri CHADEMA wana kila haki na ruzuku inayotokana na wabunge wao 19

Nafikiri CHADEMA wana kila haki na ruzuku inayotokana na wabunge wao 19

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Wabunge wale wa viti maalumu hawajatokana na juhudi zao wenyewe. Wametokana na kura alizopata Tundu Lissu. Na kura hizo ni nguvu na jasho la CHADEMA.

Haita ingia akilini kwa wabunge wale kufikiri kwamba wanaisaidia CDM ikipata ruzuku kupitia ubunge wao. Ruzuku hiyo ni haki halali ya CHADEMA.

NB: Hawa Wabunge 19 hawang'oki. Kutakuwa na mlolongo mrefu wa kisheria hadi 2025. Jana walienda kikaoni ili wasijiweke kwenye mazingira mabaya kisheria.
 
Back
Top Bottom