Nafikiri member kyagata kama hafanyagi makusudi basi anahitaji msaada wa sexual therapist

Nafikiri member kyagata kama hafanyagi makusudi basi anahitaji msaada wa sexual therapist

Ukienda kwenye terms za jamiiforums

Utapata kuwa

Content zote ambazi zinakuwa published hapa jukwaanu ni kwamba zinakuwa zimepitwa na kukaguliawa
Ina maana hazivunji policy za jamiiforums sasa kwanini,ulalamikie mahudhui ya mtu fulani ingali unaweza kumuignore.
Phoenix20250906_121517.png
 
Kwanini unamfatilia?

Kwa mfano mdogo, nina zaidi ya week sijakutana na uzi nikaona kaazisha yeye.
We umeyaonaje hayo? Au wewe ndio Kyagata unakuza parody lako hapa 🤣🤣
Huenda , maana tatizo la akili ni janga kubwa sana kwa sasa.
 
Shida iko wapi sasa hapo? Hapa geto kwangu kunamwamba nikisikia mziki tu najua yupo ndan, shida inakuja mzk unapokalibia kuisha ndo utaelewa kinaendelea nini humo ndan, mbaya zaid mzk unapga ucku kucha.
 
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
1 & 2 tofauti ni ipi?
1. Mkewe anajipeleka mwnyw wahuni wakamchakate
2. Wahuni wanamfata mkewe wamchakate kifupi anavutia

Hapo maumivu yanakuaga tofauti maana hiyo ya kwanza maumivu yake ni mazito kuliko yapili

Pia ya pili ukijidhatiti inaepukika lkn ya kwanza haiepukiki zaid ya kuachana tu.

Mwisho natumai umejifunza jambo
 
Mjomba unajipigia chapuo kimtindo..unataka nini tena kama ushalala na makabila yote Tanzania...labda tuzo ya ngono Bomba
 
Back
Top Bottom