Nafikiri muda sio mrefu dimond muziki unaenda kumshinda sasa umefanya nini kwenye wakawaka Audio inaboa kuliko maelezo

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Huyu jamaa userious kwenye mziki unapotea vidio vidio tu hazitakusaidia kitu dimond
Kiukweli hii wakawaka audio ni upuuzi tu bora hata sikomi mara mia
 
Mapenzi mapenzi anaelekea kufulia WCB wote lao moja
 
Leo hii umeikubali sikomi du, we juzi so uliuponda SIKOMI, alafu hamna msanii anayetoa hiti kila nyimbo,kuhusu diamond mziki kumshinda we si wakwanza kumtabiria , kuna wenzako kama mia humu JF, tokea 2013 mpaka leo bado yupo juu na usisahau, tarehe 17 DEC ana show UK ,ktk ukumbi wa indigo (unachukua watu zaidi ya watu 2800) ,anaandika historia ,sasa wewe endelea kusubiria ndege feri.
 
ACHA WIVU WA KIKE...MCHAGGA GANI ANAKUWA NA WIVU KWA MWANAUME MWENZIE??!!AU NA WEWE UKO KAMA BEN KINYAIA?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijafatilia mada ipasavyo ila io idadi ya mashabik its funnie..si bora aende sauz ajaze fnb stadium hta mkwanja utakua mkubwa zaid km atafanikiwa kujaza
 
Nimesema bora hata sikomi sio nimeikubali
 
huyu kijana toka muanzage kusemamiaka ya 2000 kuwa ataporomoka hadi leo dua lenu kuku halijawahi kumpata
 
Unamshirikisha msanii mkubwa riki rosee halafu Audio inakuwa mbovu namna hii
P sqwea walimshirikisha huyu jamaa unaona walichokifanya dimondi
Yaani Audio unafeli siku za hivi karibuni
 
Unamshirikisha msanii mkubwa riki rosee halafu Audio inakuwa mbovu namna hii
P sqwea walimshirikisha huyu jamaa unaona walichokifanya dimondi
Yaani Audio unafeli siku za hivi karibuni
Mzee baba muziki biashara.... Sasa wewe mwambie kibakuli wako apambe yale mashairi yake kama kama lile shairi la [HASHTAG]#sungura[/HASHTAG], na huku mnaemchukia anaendelea kupata chati
 
Bwana Eden Kimario,
Kwa uandishi wako tu unatosha kabisa kutambua wewe ni mtu wa design ya namna gani.

Kwa ushauri wangu naona ni vyema huu muda unaopoteza hapa kumponda Naseeb Abdul, ungeutumia kujifunza jinsi ya kupangilia vizuri sentensi zako, itakusaidia siku za Usoni.

Domond, vidio, zisinhekuwepo, riki rosee, p sqwea.
 
Zamani nilikuwa najiuliza iweje tujifunze kiswahili shuleni angali ni Lugha Mama tayari,
Nafikiri sasa nimepata jibu la swali langu.

Eden Kimario.
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho. Kama sio Leo, kesho! Watatokea vijana wengine wapya na vionjo vipya.
 
Hamna kitu mule siku hizi ashindane tu na mama yake kuzaa kwa sasa...Mama akileta mdogo yeye alete mjukuu,mziki waachie chipukizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…