Nafikiri muda sio mrefu dimond muziki unaenda kumshinda sasa umefanya nini kwenye wakawaka Audio inaboa kuliko maelezo

Nafikiri muda sio mrefu dimond muziki unaenda kumshinda sasa umefanya nini kwenye wakawaka Audio inaboa kuliko maelezo

Leo hii umeikubali sikomi du, we juzi so uliuponda SIKOMI, alafu hamna msanii anayetoa hiti kila nyimbo,kuhusu diamond mziki kumshinda we si wakwanza kumtabiria , kuna wenzako kama mia humu JF, tokea 2013 mpaka leo bado yupo juu na usisahau, tarehe 17 DEC ana show UK ,ktk ukumbi wa indigo (unachukua watu zaidi ya watu 2800) ,anaandika historia ,sasa wewe endelea kusubiria ndege feri.
2800 history?
 
Heijah history upande wa EA, ila kama kuna msanii kutoka EA ashawahi kufanya ,show ya peke yake INDIGO nitajie.Msanii wa Afrika ,ambaye anashika rekodi ya kufanya show peke yake na kuhudhuriwa na watu wengi UK ni wizkid (watu 5000) .
 
Mzee baba muziki biashara.... Sasa wewe mwambie kibakuli wako apambe yale mashairi yake kama kama lile shairi la [HASHTAG]#sungura[/HASHTAG], na huku mnaemchukia anaendelea kupata chati
Simchukii dimondi bali aina ya audio zake hazivutii kwa sasa
 
Bwana Eden Kimario,
Kwa uandishi wako tu unatosha kabisa kutambua wewe ni mtu wa design ya namna gani.

Kwa ushauri wangu naona ni vyema huu muda unaopoteza hapa kumponda Naseeb Abdul, ungeutumia kujifunza jinsi ya kupangilia vizuri sentensi zako, itakusaidia siku za Usoni.

Domond, vidio, zisinhekuwepo, riki rosee, p sqwea.
Hahahaaa lakini umenipata au siyo
Nafikiri mngemshauri dimondi atoe Audio za maana na sio kujificha kwenye maandishi yangu
Yeye mwenyewe anajiita chibu mondi na domondi pia
 
Hahahaaa lakini umenipata au siyo
Nafikiri mngemshauri dimondi atoe Audio za maana na sio kujificha kwenye maandishi yangu
Yeye mwenyewe anajiita chibu mondi na domondi pia
Mm mwenyewe nimeisikiliza nimeshindwa kuelewa sio kweli na rick ross ndani lakini dah au rick ross labda kambania maana sio rick ross niliyemzoea kumsikia
 
Mm mwenyewe nimeisikiliza nimeshindwa kuelewa sio kweli na rick ross ndani lakini dah au rick ross labda kambania maana sio rick ross niliyemzoea kumsikia
Wala Rick ross hana makosa kosa ni la mwenye wimbo
 
eden kimario we jamaa sigara kali, unakataa mpaka ulichokiandika wewe mwenyewe juzi ulisema nyimbo zake ya Sikomi na Niache huwezi sikiliza Mara mbili,leo bora sikomi sijui kesho utasemaje
Screenshot_2017-12-06-20-58-25.png
 
Na we kichwa chako ni kibovu nimeicompare sikomi na wakawaka ndio maana nikaandika bora sikomi kuliko wakawaka
 
Hahahaaa lakini umenipata au siyo
Nafikiri mngemshauri dimondi atoe Audio za maana na sio kujificha kwenye maandishi yangu
Yeye mwenyewe anajiita chibu mondi na domondi pia
Hicho anachokifanya na alichonacho Naseeb Abdul, mimi sina hata robo yake, huo ndio ukweli.

Sasa unaposema tumshauri mtu kuandaa Audio nzuri wakati sina hata uwezo nusu wa kuandaa hicho unachoona wewe ni kibovu, it doesn't make any sense.

Nafikiri kuliko kuponda ni vyema zaidi mtu akatengeneza Audio yake ambayo anaona iko sawa sawa and then a-release.

Masikini ndivyo tulivyo, badala ya kumpongeza Jirani yako kununua IST, unakwenda kumsema kijiweni kwamba kanunua 'Baby walker' angali huna hata Baiskeli.
 
Back
Top Bottom