2800 history?Leo hii umeikubali sikomi du, we juzi so uliuponda SIKOMI, alafu hamna msanii anayetoa hiti kila nyimbo,kuhusu diamond mziki kumshinda we si wakwanza kumtabiria , kuna wenzako kama mia humu JF, tokea 2013 mpaka leo bado yupo juu na usisahau, tarehe 17 DEC ana show UK ,ktk ukumbi wa indigo (unachukua watu zaidi ya watu 2800) ,anaandika historia ,sasa wewe endelea kusubiria ndege feri.