Nafikiri Nokia wajitafakari kwenye suala la smartphone na viswaswadu

Nokia hawatengenezi simu siku hizi
 
Hao wameshindwa ila hawataki kukubali ,nilitumia sana hizo simu zao ; nokia Asha na Express music.

Kwa sasa hawana jipya haga kuwafikiri ni zaidi ya miaka 10 ..
Nokia hawatengenezi tena simu bali kuna kampuni ya HMD ipewa ruhusa kutumia jina la Nokia kutengeneza simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…