Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Aslaam,
Nafanyakazi katika kampuni binafsi na mshahara wangu hauzidi 600,000. Mpaka sasa nina kama miaka mitatu hivi kwenye hi kampuni.
Wakati naanza kazi malengo yangu makubwa ni kutafuta mtaji then nikipata mtaji niache kazi nikaanze biashara zangu.
Kiukweli mi niko vizuri saaana kwenye kusevu (saving) japokuwa kuna baadhi ya vitu vikitokea nashindwa kufanya maamuzi ya kusevu na najikuta nakula hiyo saving ila hii ni mara chache saaana.
Mpaka sasa hii saving yangu naona kama inanitosha kutafuta na kuanza biashara zangu, ila kuna uoga unanikuta wa kuacha kazi lakini pia kuna hali flani hivi ya huruma inanikuta kwa huyu boss mwenye kampuni hapa.
Huyu jamaa amesaidia kwa kiasi kikubwa saana kwani karibia 60% ya saving ambayo nimeifanya ni ela nje ya mshara ambayo huyu boss alikuwa ananipa ili nisolve ishu zangu za binafsi.
Lakini pia kwenye hii ofisi ambayo naifanyia kazi ni kama vile mimi ndo nilianzisha kutokana nakipindi wakati nafika kwake kuomba kazi hakuwa na hiki kitengo kwahiyo nikama vile tu alikianzisha kwa lengo la kunisaidia.
Amekuwa mtu mwema saana kwangu mpaka nahisi siku nikimwambia naacha kazi atakuwa amekwazika pakubwa saana na nahisi atawaza kuwa atashindwa kumapata mtu mwaminifu kama mim ambae anaweza kufanyakazi vizuri hasa kwenye hiki kitengo nyeti kwake.
Nataka nitoke hapa vizuri bila kumkwaza saana ili siku yakinishinda huko nirudishe mpira kwa kipa.
Nawaza hapa nimwambiaje ili asinielewe vibaya kuhusu hili?
Nimewaza au nimdanganye kuwa naumwa nichukue ruhusa ya miezi miwili nikaanzishe biashara huko nikae na mtu then baada ya hiyo miezi miwili nirudi kazini biashara nimwachie mtu?
Au nimwambie ukweli kuwa naacha kazi naenda kufanya biashara zangu mambo yakiwa magum nitarudi?
Mwenye mbinu bora yakuniwezesha kuondoka hapa bila shida anishauri tafadhali.