Nafikiria kuacha kazi nifanye biashara

Nafikiria kuacha kazi nifanye biashara

Jamaa amekushauri vizuri, kama hujajenga kwanza jenga hakikisha unakaa kwako.

Then tafuta Mtaji na uendelee kufanya research ya kutosha juu ya biashara unayotaka kuianzisha, then ukiwa tayari una uhakika na biashara yako kaa chini na boss wako mwambie kuhusu lengo lako na ndoto yako, the way umemsapoti yeye kutimiza ndoto yake na malengo yake haitakuwa tabu kwa yeye kukuruhusu na kukusapoti wewe katika kuitimiza ndoto yako be transparent kwake ukishakamilisha kila kitu chako.
Nimeshajenga kiongozi, pakukaa si haba papo

Asante Kwa ushauri mzuri
 
Mimi nakushauri uendelee kwanza na hiyo kazi. Biashara haipo kama hivyo unavyo ichukulia. Biashara inataka uifanye kwa muda mrefu! Na ikikuletea mafanikio kiasi cha kuona sasa ni muda sahihi kwako kuisimamia kwa 100%, ndiyo unafikia hayo mawazo ya kuacha kazi. Biashara haitaki majaribio, au kuingia kichwa kichwa!! Huo mtaji wako utayeyuka kama mshumaa uliowashwa.

Kinyume na hapo, jiandae kushindwa mapema sana. Na utayajutia hayo maamuzi yako.
Nashukuru kiongozi, bila shaka nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Aslaam,

Nafanyakazi katika kampuni binafsi na mshahara wangu hauzidi 600,000. Mpaka sasa nina kama miaka mitatu hivi kwenye hi kampuni.

Wakati naanza kazi malengo yangu makubwa ni kutafuta mtaji then nikipata mtaji niache kazi nikaanze biashara zangu.

Kiukweli mi niko vizuri saaana kwenye kusevu (saving) japokuwa kuna baadhi ya vitu vikitokea nashindwa kufanya maamuzi ya kusevu na najikuta nakula hiyo saving ila hii ni mara chache saaana.

Mpaka sasa hii saving yangu naona kama inanitosha kutafuta na kuanza biashara zangu, ila kuna uoga unanikuta wa kuacha kazi lakini pia kuna hali flani hivi ya huruma inanikuta kwa huyu boss mwenye kampuni hapa.

Huyu jamaa amesaidia kwa kiasi kikubwa saana kwani karibia 60% ya saving ambayo nimeifanya ni ela nje ya mshara ambayo huyu boss alikuwa ananipa ili nisolve ishu zangu za binafsi.

Lakini pia kwenye hii ofisi ambayo naifanyia kazi ni kama vile mimi ndo nilianzisha kutokana nakipindi wakati nafika kwake kuomba kazi hakuwa na hiki kitengo kwahiyo nikama vile tu alikianzisha kwa lengo la kunisaidia.

Amekuwa mtu mwema saana kwangu mpaka nahisi siku nikimwambia naacha kazi atakuwa amekwazika pakubwa saana na nahisi atawaza kuwa atashindwa kumapata mtu mwaminifu kama mim ambae anaweza kufanyakazi vizuri hasa kwenye hiki kitengo nyeti kwake.

Nataka nitoke hapa vizuri bila kumkwaza saana ili siku yakinishinda huko nirudishe mpira kwa kipa.

Nawaza hapa nimwambiaje ili asinielewe vibaya kuhusu hili?

Nimewaza au nimdanganye kuwa naumwa nichukue ruhusa ya miezi miwili nikaanzishe biashara huko nikae na mtu then baada ya hiyo miezi miwili nirudi kazini biashara nimwachie mtu?

Au nimwambie ukweli kuwa naacha kazi naenda kufanya biashara zangu mambo yakiwa magum nitarudi?

Mwenye mbinu bora yakuniwezesha kuondoka hapa bila shida anishauri tafadhali

Mwenye mbinu bora yakuniwezesha kuondoka hapa bila shida anishauri tafadhali.
Kma lengo nikuacha kazi , never back kwasababu ikiwa unapata likizo nakazi inaenda basi unaweza kuondka pasi na athari ,jaribu kuomba likizo then angalia if no change sepa .kwni ipo cku utkufa xo how company goes?
Kuhusu kuanza biashara ni jmbo ambalo linaelimu yke pia xo hkikisha unasoma before take risk
 
Wooote waliokushauri ni watu waoga, mwanaume ukiamua kuingia vita ingia moja kwa moja na miguu yote, sio unapima.

Eti sijui anza biashara kwanza ukiwa kazini, sijui biashara ikikomaa ndio uhamie, we uliskia wapi? Biashara inakutaka ujitoe kweli kweli(100%), tena kuliko hata huko kazini, ukikaa nusu kwa nusu chance ni kwamba biashara itakufa tu.

Ni lazima ukae chini uamue kitu kimoja, na mie kama kukushauri, nitakushauri uache kazi uanze biashara.

Habari sijui boss unampenda sana sijui usipokuwepo mambo yatakuaje, hayataenda, jiulize, siku ukifa biashara ya bosi nayo itakufa?(jibu ni hapana).

Fanya research kuhusu hiyo biashara unayotaka kufanya kisha ingia, gari litawakia kwenye gia mbele kwa mbele muhimu ni kuwa naroho ngumu
 
Ushauri mzuri sana huu ,watu wengi ni waoga,wanaona bila ajira hawawez kuishi
 
Back
Top Bottom