Nafikiria kuacha kazi nifanye biashara

Nimeshajenga kiongozi, pakukaa si haba papo

Asante Kwa ushauri mzuri
 
Nashukuru kiongozi, bila shaka nitaufanyia kazi ushauri wako
 

Kma lengo nikuacha kazi , never back kwasababu ikiwa unapata likizo nakazi inaenda basi unaweza kuondka pasi na athari ,jaribu kuomba likizo then angalia if no change sepa .kwni ipo cku utkufa xo how company goes?
Kuhusu kuanza biashara ni jmbo ambalo linaelimu yke pia xo hkikisha unasoma before take risk
 
Anzisha biashara kwanza ndipo uache kazi
 
Wooote waliokushauri ni watu waoga, mwanaume ukiamua kuingia vita ingia moja kwa moja na miguu yote, sio unapima.

Eti sijui anza biashara kwanza ukiwa kazini, sijui biashara ikikomaa ndio uhamie, we uliskia wapi? Biashara inakutaka ujitoe kweli kweli(100%), tena kuliko hata huko kazini, ukikaa nusu kwa nusu chance ni kwamba biashara itakufa tu.

Ni lazima ukae chini uamue kitu kimoja, na mie kama kukushauri, nitakushauri uache kazi uanze biashara.

Habari sijui boss unampenda sana sijui usipokuwepo mambo yatakuaje, hayataenda, jiulize, siku ukifa biashara ya bosi nayo itakufa?(jibu ni hapana).

Fanya research kuhusu hiyo biashara unayotaka kufanya kisha ingia, gari litawakia kwenye gia mbele kwa mbele muhimu ni kuwa naroho ngumu
 
Ushauri mzuri sana huu ,watu wengi ni waoga,wanaona bila ajira hawawez kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…