Bora ukalime na ufuge kuku na mbuzi uwe unauza utapata zaidi ya mshahara wako, na lima mazao ya haraka haraka kama nyanya mboga vitunguu uuze upate cash flow, una eka tayari itumie, ila bidii muhimu
Ukipata SGA kubwa huwezi kujutia ndugu yangu,ni kampuni ambalo mshahara wake hata kama ni site ya nje hukoswi laki 3 na 80k take home kama ni mbeba silaha .