MPINGA UKAWA
Member
- Aug 7, 2014
- 8
- 16
Wakuu nawasalimu
Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii
Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga fresh ,shambani milk na vinginevyo hata vidogodogo vyenye uwezo wa kuchukua kuanzia lita 50 Hadi 100
Plan yangu ninunue eneo pembezoni mwa mji Kama ekari 5 nifuge ngombe 50 wa kisasa wa maziwa ambapo kila ngombe anipe lita 30 kwa siku inamana kwa siku kwa ngombe 50 nitaweza zalisha lita 1500
Bajeti yng ya mtaji ni ml 80
Eneo nalotaka kufanyia hii project ni morogoro dumila na sababu ya kuchagua morogoro ni upatikanaji wa malisho
Wakuu michango yenu Ni muhimu sana kwa