Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama huwa ni mashine ya kuweka mikunjo. Wanaagiza sheet ambazo zinakuwa na rangi tayari, from there inapitishwa kwenye mashine inaweka migongo. Hapo itakubidi uwe na mashine ya migongo mipana na midogo. Pia kama utataka uwe na mashine ya migongo ile ya kupinda pinda.Helloow mwenye taarifa za garama za kiwanda cha kushape bati anijuze,, nataka nianze kujipanga taratibu ndani ya miaka kazaa nianze uzalishaji asante
Wapi ndani ya nchi coils zinapatikana mkuu?Mashine ya kukunja migongo na kukatata bati hii ukiagiza China bajeti andaa kuanzia 45m, material ni Hot Rolled Coils utakuwa ukiagiza au kununua kwa Dealers wakubwa hapa Nchini. Kwenye coils zipo aina tofauti zipo ambazo ni painted, alloy na ambazo hazina rangi.
Kwa importers wakubwa ALAF,Sita steel,GSM,FMS,Kinglion,LodhiaWapi ndani ya nchi coils zinapatikana mkuu?
Kama anaanza na akaagiza coils chini ya 10 cost zitakuwa juu kuanzia TBS,port charges,ushuru,shipping cost.Wapi ndani ya nchi coils zinapatikana mkuu?
Usi mpimie mfuko seniorNilifikiri unatafuta partner muanze nae
Kweli mwenye hela za kufungua kiwanda atauliza humu 😄Usi mpimie mfuko senior
hapana, usi msemee. Pengine anazo, au ni wazo tu ana pangilia.Kweli mwenye hela za kufungua kiwanda atauliza humu 😄
Ni kweli kabisa, huwezi kujua bahati ya mtuhapana, usi msemee. Pengine anazo, au ni wazo tu ana pangilia.
as long as aki lenga kuwa mwezi, hata akiwa nyota si mbaya.
Kumbuka maisha yana tupa suprise kila kukicha!
naam, una Kumbuka ishu ya ya tomato!!, japo haikufanikiwa ila ili nifungulia milango fulani fulani.Ni kweli kabisa, huwezi kujua bahati ya mtu
Yeye anataka ajipange kwanza ili siku moja awe na kiwanda
Hakika mimi sio wa kuhukumu
Manshaa Allahnaam, una Kumbuka ishu ya ya tomato!!, japo haikufanikiwa ila ili nifungulia milango fulani fulani.
muda mwingine una ulizwa, we dogo mbona una njaa kuzidi wakubwa zako 😁.
Ila nili pewa ushauri wa hapa na pale, why nifanye na kwanini nisi ifanye.
Beside something good coming senior Black Sniper
Ameen, ngoja kwanza nimalizie malizie baadhi ya viji mambo.Manshaa Allah
Ni kweli kabisa huwezi kujua yaliyo mbele yako
Nakuombea mafanikio mema yenye Baraka
Hiyo bei ya mashine ya kukunjia hizo bati mbona kama iko chini sana! Kuna uzi wa miaka kadhaa nyuma, kuna jamaa alikuwa anauza milioni 80!!Mashine ya kukunja migongo na kukatata bati hii ukiagiza China bajeti andaa kuanzia 45m, material ni Hot Rolled Coils utakuwa ukiagiza au kununua kwa Dealers wakubwa hapa Nchini. Kwenye coils zipo aina tofauti zipo ambazo ni painted, alloy na ambazo hazina rangi.